VideoMPYA: ‘Umeniweza’ ya Izzo B na Abela Music imeachiwa….


Bado tunasogezea midundo mipya kutoka kwa mastaa wetu wa bongo flava,nakukutanisha na hii zawadi ya ‘Umeniweza’ ya Izzo Bizness aliyoshirikiana na Adela Music. Ukimaliza kuitazama unaweza kudondosha comment yako kuhusu huu mdundo na kisha Izzo B atapita kuzisoma.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment