![]() |
| Picha hii ni mwonekano wa kaskazini wa mfano wa mti wa mnazi uliotengenezwa nchini dubai ndani ya bahari,unaweza kuona majengo marefu na hata njia mbalimbali za magari.... |
![]() |
| Picha halisia ya kile nilichokuelezea kwa juu hapa unaweza kuiona saawia kabisa.... |
![]() |
| Kusini mwa Mti huu unaweza kuona sehemu hii shuguli mbalimbali zinafanyika... |
![]() |
![]() |
| Picha ya Juu kabisa unaweza kuona mandhari ya kitu nachokuelezea na kuvuta taswira ya kile nilichokujuza pale juu.... |
![]() |
| Angalia mandhari ya eneo ili lililojengwa kwa ramani ya dunia na unavyoona ni makazi ya watu wanaishi kabisa ndanio ya ya ramani hiyo ya dunia.... |
![]() |
| Mandhari zahiri ya Sehemu husika pembezoni mwa ramani ile ukiona sehemu za pembeni ni nyumba na hoteli za kitalii ....!!
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
|










0 comments:
Post a Comment