Baada ya kumake headline siku ya jana kwa kumtembelea Donald Trump, Kanye West amefunguka ishu nzima ambayo ilimfanya kukutana na Trump.
Kupitia kurasa yake ya Twetter, Kanye alituma mfululizo wa posti kuelezea jinsi anavyotaka kutengeneza mahusiano mazuri na Trump kwa kuzungumzia ishu kibao kama kuwasaidia walimu, fujo ambazo zinatokea huko Chicago na maswala mengine.
I wanted to meet with Trump today to discuss multicultural issues.
These issues included bullying, supporting teachers, modernizing curriculums, and violence in Chicago.
I feel it is important to have a direct line of communication with our future President if we truly want change.
Licha ya hayo yote, pia inaonyesha wazi sasa Kanye anajipanga kugombea uraisi mwaka 2024, na hiyo kutokana na tweet yake aliyoituma kwa “#2024” hashtag.
#2024
D
0 comments:
Post a Comment