

Chelsea walisafiri katika dimba la Etihad wakiwa na kumbukumbu ya kumfunga Man Citykatika mechi za Ligi Kuu England mara ya mwisho February 3 2014, leo December 2 2016 Chelsea iliyochini ya kocha Antonio Conte wamefanikiwa kuifunga Man City goli 3-1.

Msimamo wa EPL baada ya matokeo ya mechi ya Man City vs Chelsea
Magoli ya Chelsea yalifungwa na Diego Costa dakika ya 60, Willian dakika ya 70 na Eden Hazard dakika ya 90 huku goli la Man City likipatikana kwa Chelsea kujifunga dakika ya 45 kupitia kwa Gary Cahill, mara ya mwisho Chelsea kumfunga Man City EPLalimfunga goli 1-0.
0 comments:
Post a Comment