
Akiwa kwenye show yake London aliuliza mashabiki “nani angependa nirudi Instagram? huku mashabiki wakishangilia kwasauti kumaanisha wangependa arudi tena ila Justinalisema hawezi kurudi Instagram kwani anaamini mtandao huo ni wa shetani na unatupeleka kuzimu na hawezi kurudi kwenye mtandao huo.
>>> “Nah, I don’t want to get my Instagram back… I’m sure… I think hell is Instagram. I’m 90 percent sure. We get sent to hell, we get like locked in the Instagram server.” – Justin Bieber
Video: Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama >>>
0 comments:
Post a Comment