
“Upendo wa kutosha kwa mshikaji wangu @diamondplatnumz msanii mkali na rafiki yangu kutoka Africa! Itafute single aliyoifanya na mimi #MARRYYOU inapatikana sasa kwenye iTunes. #NEWMUSIC 







,” – Ne-Yo.
Kupitia Instagram, Ne-Yo ameandika maneno ya kuifanyia promotion collabo hiyo huku akimtaja Diamond “Simba” kama msanii mkali na rafiki yake mkubwa kutokea barani Afrika, single hiyo unaiweza kuipata kwa kudownload kupitia >>> itunes.

0 comments:
Post a Comment