"CCM itaongeza idadi ya Wanachama, kupambana dhidi ya Rushwa, kujitegemea Kiuchumi, kukomesha makundi ndani ya Chama, kujiimarisha ngazi ya chini ya Wanachama".
"Napenda kuona sasa mtu mmoja akishika cheo kimoja ndani ya C.C.M badala ya vyeo vingi kama ilivyo sasa"
"CCM kuzingatia Kanuni zake za uchaguzi, Kanuni za Jumuiya ziendane na Katiba ya Chama, CCM kuongozwa na wanachama badala ya chama kuongozwa na Mwanachama".
*"Nitapenda sana chini ya uongozi wangu, vikao vya maamuzi huku juu viwe na watu wachache.*
Mhe John P.Magufuli
Mwenyekiti CCM Taifa.
Ufunguzi Kikao cha NEC 13/12/2016
0 comments:
Post a Comment