Rapa Kanye West ameruhusiwa hivi karibuni kutoka hospitali kufuatia mfululizo wa matukio ya kuchanganyikiwa.
Rapa huyo mwenye umri wa miaka 39 ameibuka Jijini New York ikiwa ni wiki kadhaa kupita tangu kupatwa na tatizo la kupagawa.
Kanye alionekana akiwa amepaka rangi nywele zake, akiwa amevalia nguo na viatu vya kampuni yakea ya Yeezy, hii ikiwa mara ya pili kuonekana hadharani tangu atoke hospitali.
0 comments:
Post a Comment