STAA LULU: MWAKA HUU HAUKUWA MWAKA WANGU WA BIASHARA


Mshindi wa tuzo ya Swahili fashion mwanadada Elizabeth Michael a.k.a Lulu amefunguka sababu ya ukimya wake kwa mwaka huu.

Mrembo huyo anaejihusisha na maswala ya Fashion pamoja na uingizaji hapa bongo, ametusanukia sababu za yeye kuwa kimya mwaka huu bila kuachia kazi yoyote licha ya kukwarua tuzo ya Swahili fashion.
Akiongea kwenye kipindi cha Enews mrembo huyo amefunguka sababu za yeye kuwa kimya kwa mwaka mzima.
screenshot-www.instagram.com-2016-12-15-13-35-46
“mwaka huu nilikuwa busy sana kwenye harakati za maisha jambo ambalo limenipa wakati mgumu kwa kushidwa kuachia movie zangu na project zangu zingine”
Hata hivyo Lulu ametuambia jambo ambalo ataanza kulifanya pindi mwaka 2017 utakapoa wadia.
screenshot-www.instagram.com-2016-12-15-13-37-08
“nikisha maliza mambo yangu yote mwaka huu basi mwakani nitakuwa nafanya mipango yangu ya kimasomo na mambo yangu ya fashion ili nizidi kujitengenezea mazingira mazuri zaidi“. alimaliza kwa kusema hivyo mrembo huyo.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment