Moja kati ya wanamuziki wakali na wakongwe wa kike Tanzania Mwasiti ametoa wimbo wake mpya – KAA NAO ambao umeandaliwa na mtayarishaji wa muziki mahiri nchini maarufu kama EMATHE BOY na unaweza kuupakua hapa;
Mwasiti akizungumzia ujio wake mpya amesema, “najua mashabiki wangu wamenisubiri kwa muda mrefu sana ila kwa sasa hawatosubiri tena kuanzia sasa nitatoa nyimbo baada ya nyimbo hivyo nawaomba wakae mkao wa kula na kutoa support kama ambavyo wamekuwa wakinipa muda wote.”
KAA NAO – Ni wimbo ambao unamzungumzia mtu ambaye yuko kwenye mahusiano lakini mpenzi wake hathamini mapenzi yake kiasi kwamba ina mfanya amwambie ‘Kama mapenzi yangu kwako ni adhabu moyo kaa nao
0 comments:
Post a Comment