Wakati mashabiki wa soka duniani wanaomfuatilia staa wa zamani wa
Man United na
Juventus Carlos Tevez wakishuhudia staa huyo akikubali kujiunga na
Shanghai SIPG ya
China ambako atakuwa akilipwa mshahara wa pound 615,000, taarifa ikufikie kuwa staa huyo ameamua kufunga ndoa.
Tevez amefunga ndoa mchana wa Alhamisi ya December 22 2016 na mpenzi wake wa muda mrefu Vanesa Mansilla wakiwa San Isidro, Tevez mwenye miaka 32 amefunga ndoa na mpenzi wake Vanesa ambaye amekuwa nae toka enzi za utoto.
0 comments:
Post a Comment