Kiungo wa Brazil anayeichezea Chelsea Oscar imeripotiwa na kuthibitishwa na timu ya Shanghai SIPG kuwa atajiunga nayo mwezi January, imeripotiwa na BBC Sports kuwa Oscar atajiunga na Shanghai SIPG kwa dau la pound milioni 60.
Oscar alijiunga na Chelsea 2012 akitokea International kwa dau la pound milioni 25, Oscar ameichezea Chelsea mechi 203 na amefanikiwa kuifungia magoli 38, imeripotiwa kuwa Oscar atakuwa akilipwa mshahara wa pound 400,000 kwa wiki.
0 comments:
Post a Comment