Kocha Jurgen Klopp na kikosi chake cha Liverpool wameshuhudia mchezo katika dimba la Nou Camp ambao Arda Turan alifunga hat-trick wakati Barcelona ikishinda 4-0 dhidi ya Borussia Monchengladbach.
Turan mshambuliaji raia wa Uturuki, pia alimtengenezea goli Lionel Messi aliyefunga goli la kwanza katika mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya ulioonekana kuwa ni wa upande mmoja na kuifanya Barcelona kuongoza kundi C.
Arda Turan akifunga goli la nne na kukamilisha hat-trick yake
Kocha Jurgen Klopp akiwa jukwaani akifuatilia kwa umakini mchezo huo
Mchezaji nyota wa timu ya taifa ya Brazil na Barcelona Neymar akiangalia mchezo huo kutokana na kuwa majeruhi
0 comments:
Post a Comment