ZIARA ya Ne-yo nanyota wa afrika Diamond platnum ambaye ndio mgeni rasmi kwenye ziara hiyo imetajwa kusogezwa mbele
Kwa sasa ziara hiyo itaanza Machi 29 na kufikia mwisho April 8 ya mwakani. Awali ziara hiyo ilitarajiwa kuanza Jumatano ya Disemba 7 kwenye ukumbi wa Clasgow Barrowland na kufikia mwisho Disemba 14 ya mwaka huu.
Kupitia mtandao wa Instagram, Ne-Yo ameandika, “The December dates have been postponed! But don’t worry U.K. I’m still headed your way with NEW DATES and my bro @diamondplatnumz. 2017, let’s turn up! Tickets available at RoboMagicLive.com #NEYOUKLive.”
Naye meneja wa Diamond, Sallam kupitia mtandao huo ameandika, “UK New Dates…!! @neyo and @diamondplatnumz
.”
0 comments:
Post a Comment