NAIBU INSPEKTA JENERALI WA POLISI ABDULRAHMANI KANIKI AFUNGA MAFUNZO YA KATIKA CHUO CHA MAAFISA WA POLISI KIDATU.


kani1
Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi , Abdulrahmani Kaniki akipokewa na Kamishina wa Polisi operesheni na mafunzo, Nsato Marijani alipoenda kufunga mafunzo ya upelelezi kwa askari polisi wa kinondoni katika chuo cha maafisa wa polisi kidatu mkoani Morogoro ( Picha na Tamimu Adam- Jeshi la POLISI)
kani2
Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi , Abdulrahmani Kaniki akisamilimiana na Mkuu wa Upelelezi wa Kinondoni Mark Njera alipoenda kufunga mafunzo ya upelelezi kwa askari polisi wa kinondoni katika chuo cha maafisa wa polisi kidatu mkoani Morogoro ( Picha na Tamimu Adam- Jeshi la POLISI)
kani3
Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi , Abdulrahmani Kaniki akimkabidhi cheti cha Upelelezi Polisi konstebo Jonathani Tossi wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya upelelezi kwa askari polisi wa kinondoni katika chuo cha maafisa wa polisi kidatu mkoani Morogoro ( Picha na Tamimu Adam- Jeshi la POLISI)
kani4Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi , Abdulrahmani Kaniki akifafanua ( katikati) jambo wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya upelelezi kwa askari polisi wa kinondoni katika chuo cha maafisa wa polisi kidatu mkoani Morogoro. Kulia ni Kamishina wa Polisi operesheni na mafunzo, Nsato Marijani ( Picha na Tamimu Adam- Jeshi la POLISI)
kani5Kamishina wa Operesheni na Mafunzo ( CP) Nsato Marijani akimsikiliza mwakilishi wa Taasisi ya Hans Sidel Bi Juliana wakati wakimsubili Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi kuwasili katika chuo cha maafisa wa Polisi Kidatu kwa ajili ya kufunga mafunzo ya upelelezi kwaaskari Polisi wa mkoa wa kipolisi kinondoni. ( picha na Tamimu Adam- Jeshi la Polisi)
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment