CHELSEA YAONGOZA LIGI KUU YA UINGEREZA KWA TOFAUTI YA POINTI SITA


Chelsea inaongoza Ligi Kuu ya Uingereza kwa tofauti ya pointi sita kufuatia goli la kipindi cha kwanza la Cesc Fabregas dhidi ya Sunderland katika dimba la Stadium of Light.

Fabregas alitumbukiza mpira huyo katika kona ya juu ya goli na kuifanya Chelsea kupata ushindi wa kumi mfululizo katika ligi hiyo.

Kipa wa Sunderland Jordan Pickford alifanya kazi ya ziada kuzuia michomo ya Marcos Alonso na Willian na kuinyia Chelsea kupata ushindi mnono.
                                               Cesc Fabregas akifunga goli pekee katika mchezo huo 
                          Kipa wa Sunderland Jordan Pickford akiufuata kwa upole mpira wavuni 
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment