mtoto wa pili salama.Diamond Ametumia Account yake ya Mtandao wa Kijamii wa Snapchat kuanzia jana Masaa 22 yaliyopita kuanzia Wakitoka Nyumbani kwake huko South Africa, Safari ya Kumpeleka Zari Hospitali mpaka Alipojifungua huku akiwa bega kwa Bega na Mama yake.
Fuatilia Video hii hapa Chini kwa Kubofya Play Ufuatilie Kila kitu tokea Wanatoka Nyumbani, Wanaingia Mpaka Diamond Alipotoka Hospitali na Kututhibitishia kwamba Zari ameshajifungua.
Kwenye Video hii pia Diamond Ametuonyesha amempokea Msanii wake Rayvanny na Kumpeleka kwa mara ya kwanza kwenye nyumba yake Huko South Africa akitokea Marekani.

0 comments:
Post a Comment