Tekno Miles msanii kutokea Nigeria ni miongoni mwa wasanii waliopata mafanikio makubwa, Tekno ambae ni mshindi wa tuzo ya MTV Africa Music Awards kama Best Breakthrough Act, Tekno ameingia tena kwenye headlines baada ya kusainiwa kwenye label ya Sony ambayo inasimamia wasanii wakubwa duniani.
Pia Tekno alikuwa miongoni mwa wasanii kutokea Nigeria walioperform kwenye tamasha la Fiesta, November 5 2016 jijini Dar es Salaam akiwa na Yemi Alade ,Unaweza kuitazama video nimekuwekea hapa chini wakati Tekno anasaini mkataba huo.
0 comments:
Post a Comment