Ni zamu nyingine ya Mwana FA, uhodari wake wa kuandika umefanya kila anaeifatilia Bongofleva avutiwe kujua ameandika nini kwenye kila anapotoa ngoma mpya, leo katuletea video mpya ya ‘dume suruali‘ na ukishaitazama unaweza kuacha comment yako hapo chini mtu wa nguvu
0 comments:
Post a Comment