Kinda wa Celtic mwenye kipaji cha soka Karamoko Dembele, 13, ameitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Scotland ya wachezaji wenye umri wa chini ya miaka 16.
Katika mchezo huo dhidi ya Ireland ya Kaskazini Dembele aliyeitwa kikosini alikaa benchi akishuhudia Scotland ikishinda.
Kinda huyo anayelinganishwa na Messi, amekuwa akitamaniwa na timu ya taifa ya Uingereza pamoja na timu ya taifa ya Ivory Coast nao wamekuwa wakimuania kwa siri.
Karamoko Dembele akifanya mazoezi na wachezaji wa timu ya taifa ya Scotland
Karamoko Dembele akiwapongeza wachezaji wenzake baada ya kuibuka na ushindi
0 comments:
Post a Comment