Bondia maarufu nchini, Thomas Mashali, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kupigwa vibaya na watu wasiojulikana maeneo ya Kimara jijini Dar es salaam.


Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment