Mwanariadha Kariman Abuljadayel amekuwa ni mwanamke wa kwanza kutoka taifa la Saudi Arabia kushiriki mbio za Olimpiki za mita 100.
Mwanariadha huyo mwenye miaka 22 akiwa amevalia mavazi ya michezo yaliyofunika mwili mzima, alishindwa kufuzu kwa kumali wa saba katika mchujo wa awali.
0 comments:
Post a Comment