Katika kanda ya video iliopatikana na mtandao wa TMZ,Justin anaonekana kupita katikati ya watu kabla ya mkono wa mtu kuonekana ukimgusa upande mmoja wa uso wake.
Justin aligeuka na kumuuliza, ndugu mbona ufanye kitendo kama hicho?
Walinzi wake walimvuta msanii huyo mwenye umri wa miaka 35 lakini baadaye akaonekana akizungumza na mshukiwa huyo.
0 comments:
Post a Comment