STEPHEN OKECHUKWU KESHI THE BIG BOSS AFARIKI DUNIA

Beki wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria “Super Eagle” Stephen Okechukwu Keshi ambaye pia aliwahi kuwa kocha wa timu hiyo ya taifa amefariki dunia.

Keshi (54) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa Benin, na taarifa za kutokea kifo chake zomethibitishwa na Ben Olaiya.

Mkurugenzi Msaidizi wa Mawasiliano wa Shirikisho la Soka nchini Nigeria, Ademola Olajire, naye ameeleza kuwa Keshi amefariki dunia hospitali alipopelekwa kutibiwa miguu.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment