Lakini sasa staa mwingine mkubwa wa Marekani Laurence Fishburne, yupo nchini Afrika Kusini kutengeneza series ya maisha ya Mandela.
Series hiyo itaoneshwa na BET mwakani. Series hiyo itakuwa na episode sita.
Waigizaji wengine waliowahi kuigiza maisha ya Mandela ukimtoa Elba, ni pamoja na Terrence Howard, Morgan Freeman na Sidney Poitier.
0 comments:
Post a Comment