Serena Williams amekichukua kiti kilichokuwa kimekaliwa na Maria
Sharapova kama mwana michezo anayelipwa fedha nyingi zaidi. Katika
kipindi cha miezi 12, Serena ameingiza kiasi cha dola milioni 28.9.
Hata hivyo orodha hiyo ya Forbes imetawaliwa na wachezaji wa tennis
zaidi.
Hii ni orodha nzima:
1. Serena Williams – $28.9m
2. Maria Sharapova – $21.9m
3. Ronda Rousey – $14m

4. Danica Patrick – $13.9m

5. Agnieszka Radwanska -$10.2m

6. Caroline Wozniacki – $8m

7. Garbine Muguruza – $7.6m

8. Ana Ivanovic – $7.4m

9. Victoria Azarenka – $6.6m

10. Eugenie Bouchard – $6.2m
Share
Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com
Phone:0719337774
0 comments:
Post a Comment