Hata hivyo bado chama chake hakijamtangaza rasmi kwakuwa mchakato wa kuwania nafasi hiyo bado unaendelea. Mpinzani wake kwenye kinyang’anyiro hicho ni Bernie Sanders.
Hadi sasa Clinton amefikisha 2,383 – namba inayohitajika ili kupewa nafasi hiyo. Atakuwa mwanamke wa kwanza kuwahi kuchaguliwa kugombea urais nchini Marekani.
Kutokana na taarifa hiyo, Clinton alitweet:
0 comments:
Post a Comment