Man City wametangaza kumsajili Ilkay Gundogan kwa mkataba wa miaka minne lakini ada ya usajili ya nyota huyo inakadiliwa kufikia pound milioni 21 ambazo ni zaidi ya bilioni 60 za kitanzania.
Ilkay Gundogan ambaye ni kiungo wa kati, ana umri wa miaka 25 , lakini hadi anaondokaDortmund na kujiunga na Man City alikuwa kacheza jumla ya mechi 157, lakini katika msimu uliomalizika wa Bundesliga, Ilkay Gundogan amecheza mechi 25, kafunga goli moja, katengeneza nafasi 26 za magoli na kupiga pasi zilizofika kwa wastani wa asilimia 39.
0 comments:
Post a Comment