KOCHA ROBERTO DI MATTEO AITWA KUINOA ASTON VILLA


Kocha wa zamani wa Chelsea, Roberto di Matteo, ametangazwa kuwa kocha mpya wa timu ya Aston Villa ya Uingereza.

Muitalia huyo anachukua mikoba Remi Garde ambaye alifukuzwa mwezi Machi kabla ya klabu hiyo kushuka daraja.

Di Matteo, aliyeshinda Ligi ya Mabingwa akiwa na Chelsea mwaka 2012, atasaidiwa na mchezaji mwenzake wa zamani wa Chelsea Steve Clarke.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment