Unadhani kwanini wasanii wa Bongo wanapenda kuishi maisha ya kuigiza?


Msanii Niki wa pili amesema..."sisi wasanii maisha yetu wengi ni feki tunavyoonyesha kwenye instagram, tunayosema kwenye media sio vitu vya kweli, ukiongelea skendo za mjini ni za kwetu, kashfa za ulevi za kwetu pia"
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment