- Nchi zingine wanasema harakati hizi zinaitwa Giving Back to the Community, Wema Sepetu na Jamii ni project ya Wema Sepetu na usimamizi wake kugusa maisha ya watu wanaomzunguka haswa watoto kama unavyoona kwenye picha hizi.Harakati hizi zimepewa jina #WemaNaJamii #MkonoWaBaraka#MtotoWakoNiWangu
About Unknown
Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com
Phone:0719337774
0 comments:
Post a Comment