Mama wa mwanamuziki wa Marekani, Janet Jackson, imeripotiwa kumhamasisha mtoto wake huyo kupata ujauzito kabla ya umri haujamtupa mkono.
Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 49, atafikisha miaka 50 Mei 16, inaaminika kuwa anatarajiwa kupata mtoto wa kwanza na mumewe Wissam Al Mana.
Hata, hivyo mama yake mzazi Katherine Jackson, 86, ndiye inasemekana amemshawishi Janet kupata mtoto, kwa kumuambia akiwa na umri kama wake alishakuwa na wajukuu.
Mama wa Janet Jackson, Bibi. Katherine Jackson
0 comments:
Post a Comment