MAELFU YA WAKAZI WA LEICESTER WAJITOKEZA KUSHEREHEKEA USHINDI WA TIMU YAO


Hafla ya ushindi wa Leicester City imehudhuriwa na maelfu ya mashabiki wa timu hiyo kusherehekea ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza.

Maelfu ya mashabiki hao wa Leicester City walikusanyika maeneo ya kati kati ya Jiji la Leicester jana kushuhudia wachezaji wa timu hiyo wakiwa na kombe la walilotwaa.
              Mwenyekiti wa Leicester City Vichai Srivaddhanaprabha akibeba kombe
                           Timu ya Leicester City ikiwa na kocha wao pamoja na kombe
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment