Kocha wa Leicester City, Claudio Ranieri, ametajwa kuwa kocha wa mwaka na Chama cha Makocha wa Ligi Kuu ya Uingereza.
Kocha huyo raia wa Italia, ametangazwa kufuatia kuiongoza Leicester kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza kwa mara ya kwanza katika historia ya kabu hiyo.
0 comments:
Post a Comment