MABINGWA WA LIGI KUU ENGLAND, LEICESTER CITY WATEMBEZA KOMBE KATIKA MITAA YA JIJI LA BANGKOK


Wachezaji, kocha pamoja na mmiliki wa timu ya soka ya Leicester City, mabingwa wa ligi kuu England msimu huu wakiwa katika gari la wazi wakikatiza mitaa ya jiji la Bangkok nchini Thailand wakilitembeza kombe la ubingwa.
Mmiliki wa Leicester City, Vichai Srivaddhanaprabha( kushoto aliyeshika kombe ) akiwa na kocha mkuu wa timu hiyo Claudio Ranier pamoja na wachezaji wa timu hiyo wakitembeza kombe katika mitaa ya jiji la Bangkok.
Mamia ya mashabiki wa soka nchini Thailand ambako ni nyumbani kwa mmiliki wa timu hiyo wakifurahia ubingwa wa ligi kuu England uliochukuliwa na Leicester City msimu huu.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment