Ndege ya shirika la ndege la EgyptAir iliyoripotiwa kupotea angani kati ya Paris na Cairo, imeanguka rais wa Ufaransa Fancois Hollande amethibitisha.
Ndege hiyo aina ya Airbus A320 imetoweka mashariki mwa Mediterranean, ikiwa na abiria 56 wakiwemo watoto watatu, watumishi saba wa ndege pamoja na maafisa usalama watatu.
0 comments:
Post a Comment