Timu ya waokoaji ya Sri Lanka inatafuta idadi kadhaa ya watu wasiojulikana walipo huku kukiwa na hofu hakuna manusura zaidi, wa maporomoko makubwa ya ardhi katika nchi hiyo.
Hadi sasa vikosi vyemefanikiwa kuokoa watu 150 kutokana na maporomoko ya ardhi katika wilaya iliyokumbwa na athari zaidi ya Kegalle lakini matumaini ya kuwapata hai watu 134 yamefifia.
0 comments:
Post a Comment