JIMBO LA CALIFORNIA LAONGEZA UMRI WA MTU KURUHUSIWA KUANZA KUVUTA SIGARA


Jimbo California limeongeza umri unaoruhisiwa mtu kuvuta sigara kuwa ni miaka 21 badala ya 18 ya hapo awali, ikiwa ni sehemu ya sheria mpya za kukabiliana na uvutaji sigara.

Sheria hiyo inafanya sasa kuwa ni kinyume na sheria kwa mtu aliyechini ya umri wa miaka 21 kuvuta sigara, isipokuwa kwa mtu anayetumikia jeshi.

Watu wanaounga mkono sheria hiyo wamesema itasaidia kuwaepusha vijana na madhara ya kuwa mateja wa sigara.

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment