Stori Kuhusu Ali Kiba Kutoa Wimbo Mpya Hii Hapa Unknown 12:57:00 PM SANAA TZ Edit Alikiba anatarajia kuachia wimbo wake mpya alioupa jina ‘Aje.’Hajasema wimbo huo utatoka lini lakini dalili zinaonesha kuwa unaweza ukaachiwa mwezi huu.Huo unakuwa wimbo wake mpya mwenyewe tangu aachie Lupela. Kwa sasa Kiba anafanya vizuri na wimbo aliofanya na Sauti Sol, Unconditionally Bae. Share Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus Share About Unknown Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774 RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment