Mei 5 2016 Waziri wa katiba na sheria, Harrison Mwakyembe amewasilisha bungeni mpango wa makadirio ya bajeti kwa mwaka 2016/2017.
Waziri Mwakwembe amesema..>> ‘Wizara yangu itaendelea na uratibu na uimarishaji wa mfumo wa sheria wa nchi na oia juhudi za kuongeza ubora na kuimarisha upatikanaji wa huduma za kisheria na kikatiba sanjari na dhima ya Wizara‘
‘Wizara itachukua hatua kuimarisha upatikanaji wa msaada wa kisheria kwa watu wasio na uwezo, kuimarisha utunzaji wa kumbukumbu na takwimu, aidha Wizara italitumia kwa karibu zaidi jukwaa la haki jinai chini ya Mkurugenzi wa mashtaka.’
0 comments:
Post a Comment