ANDY MURRAY ATWAA USHINDI WA MICHUANO YA WAZI YA ITALIA


Andy Murray amesema atapaswa kukabiliana na presha baada ya kutwaa ubingwa wa kwenye uwanja wa udongo kwa mara ya kwanza dhidi ya Novak Djokovic, katika michuano ya wazi ya Italia Jijini Roma.

Muingereza Murray ambaye amefikisha umri wa miaka 29 siku ya Jumapili, amemshinda mchezaji huyo namba moja duniani katika viwango vya tenesi kwa seti 6-3 6-3.
                     Ushindi ulinogesha pia sherehe ya siku ya kuzaliwa Andy Murray
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment