MANCHESTER CITY MGUU NDANI LIGI YA MABINGWA ULAYA


Manchester City ni kama wamejihakikishia kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya, baada ya kutoka sare ya bao 1-1 na kumaliza katika nafasi ya nne katika Ligi Kuu ya Uingereza.

Manchester City ilijikuta ikinyimwa ushindi na kugawana pnti kufuatia mpira wa shuti la Andre Ayew uliogongwa na kubadili muelekeo na kusawazisha goli la Kelechi Iheanacho alilofunga kwa shuti la karibu.

Ili Manchester United iweze kushika nafasi ya nne, itahitaji kushinda magoli 19, kwa bila jambo ambalo kimehaseba ni gumu kuwezekana.
                       Kelechi Iheanacho akiifungia goli timu yake ya Manchester City
                               Andrew Ayew akipiga mpira uliogongwa na kuingia wavuni
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment