Rapa aliyevuta bangi mpaka kuzimia na kupoteza fahamu.


Rapa Waka Flocka Flame amezimia na kupoteza fahamu kwenye tamasha la muziki baad aya kuvuta bangi kwa kupitiliza.
Watoa huduma ya kanza walifika eneo la tukio na kumkuta rapa Waka Flocka akiwa amepoteza fahamu na kuishiwa mahi mwilini.
Baada ya kupewa drip za maji kwa dakika chache aliamka.

0419-waka-flocka-instagram-9

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment