Mrembo huyu aliyetaniwa kibonge ageuka keki kwenye mitindo duniani

Katika ulimwengu wa fashion, wanawake wembamba ndio wanaoonekana kutawala zaidi kuliko wale wenye hips.12729695_457220324472973_999470605_nHiyo imewafanya warembo wengi kujinyima kula chakula ili kuwa na miili miembamba zaidi kujiweka kwenye nafasi ya kupata mashavu. Lakini kwa Iskra Lawrence mambo tofauti. Mrembo huyu aliwahi kukataliwa na agency ya urembo kwasababu walisema ana hips kubwa mno.

12729695_457220324472973_999470605_n
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment