Inasemekana huyu ndio mwanamke aliyetajwa na Beyonce kuchepuka na Jay Z.


Mwanamke huyu ametajwa kwenye wimbo wa “Sorry,” Beyonce aliposema “He only want me when I’m not there/ He better call Becky with the good hair.”.

 rachel-roy
Becky huyu ni Rachel Roy, ambaye aliwahi kuwa mke wa Dame Dash [Rafiki mkubwa wa zamani wa Jay Z,walianzisha lebel ya Roc A Fella pamoja].
Rachel Roy alijibu kwa kuandika maneno haya Twitter “I respect love, marriages, families and strength, What shouldn’t be tolerated by anyone, no matter what, is bullying, of any kind.” akimaanisha [Naheshimu sana mapenzi, ndoa, familia na nguvu,tusikubali mtu yoyote atuonee].
Kabla ya twit hio aliweka insta post akitania mstari wa Beyonce wa Nywele kwa kuandika
“Good hair, don’t care, but we will take good lighting, for selfies, or self truths, always,”
Roy ametajwa kuwa sababu ya Solange Knowles kumpiga Jay Z kwenye lift mwaka 2014.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment