Watanzania Kwa Uchafu Tumeshindikana..Embu Ona Huyu Katupa Takataka Daraja Jipya



Pamoja na Jitihada za Paul Makonda Kuanzisha kampeni ya Usafi Jijini Dar es Salaam lakini kuna baadhi ya watu wanazikwamisha juhudi hizo kwa makusudi..hizi takataka zimetupwa daraja jipya la kigamboni ambalo limefunguliwa week iliyopita tu.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment