Didier Drogba akaribisha uchunguzi juu ya taasisi yake

Mchezaji na mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Didier Drogba, amesema anakaribisha uchunguzi ufanywe juu ya taasisi yake dhidi ya kile kilichoitwa “wasiwasi mkubwa juu ya udhibiti”.160416104125_didier_drogba_charity_512x288_bbc_nocredit
160416104125_didier_drogba_charity_512x288_bbc_nocredit
Gazeti la Uingeza limedai kuwa kiasi cha paundi 14,115 nje ya paundi 1.7 ilizochangiwa taasisi ya Didier Drogba kama hisani ndizo zilizosaidia Barani Afrika.
Tume ya taasisi hiyo imefungua kesi kufanya mapitio ya wasiwasi huo dhidi ya utawala la taasisi hiyo,lakini Drogda mwenye umri wa miaka 38 amesema hana mashaka, kwani kila kitu kiko sawa na pesa hizo zinaweza kutumika pale itakabidi kutumika .

Katika makala iliyoandikwa kwenye gazeti hilo linaeleza kuwa paundi 439,321 zilitumika katika sherehe za anasa za kifahari kutafuta fedha ambazo zilihudhuriwa na watu maarufu,na zaidi ya paundi milioni moja zimezuiliwa katika akaunti ya benki.
Sorce: BBC
12479249_1540531749574433_2046153760_n
12523740_970119906415757_469052054_n
12552448_1696287353991810_1533585449_n

12479249_1540531749574433_2046153760_n

12523740_970119906415757_469052054_n
12552448_1696287353991810_1533585449_n
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment