Mchezaji wa Leicester City Jamie Vardy amefunguliwa mashtaka ya utovu wa nidhamu na chama cha soka cha nchini England FA.
Vardy alifanya vitendo vya utovu wa nidhamu baada ya kupewa kadi nyekundu na mwamuzi Jon Moss katika mchezo wa Jumapili dhidi ya West Ham.

0 comments:
Post a Comment