Waziri Mkuu wa Ubelgiji Charles Michel ameelezea mashambulizi hayo ya Jijini Brussels kuwa ni wakati wa giza kwa taifa hilo, huku Rais Barack Obama na viongozi wengine wakitoa matamko ya haraka kuiunga mkono nchi hiyo.
Rais Obama wa Marekani aliyeziarani nchini Cuba amesema dunia lazima iungane bila ya kujali taifa la mtu, asili yake ama imani yake katika kupambana na magaidi.
Rais Barack Obama akitoa hotuba ya kulaani mashambulizi ya Brussels
0 comments:
Post a Comment