POLISI WA UBELGIJI WAKAMATA VITU HATARI KWENYE NYUMBA YA MAGAIDI

Polisi nchini Ubelgiji wamepata msumari wa bomu, chemikali na bendera ya kundi la Dola ya Kiislam (IS) katika msako kwenye nyumba ya watuhumiwa wa ugaidi saa chache baada ya matukio ya milipuko ya mabomu iliyouwa watu 34, Jijini Brussels.

Kupatikana kwa vitu hivyo kumepelekea polisi kufanya upekuzi kwenye majengo ya wilaya ya Shaerbeek kaskazini mashariki mwa Brussels, ambako watuhumiwa wawili wa mashambulizi ya Jijini Paris waliishi.
               Wataalam wa upelelezi wa alama mbalimbali wakiendelea na kazi yao
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment